August 6, 2016

 Mambo yanazidi kuonekana kwenda vizuri kwenye Uwanja wa Bunju unaomilikiwa na Simba, huku kukiwa na dalili za kikosi hicho kitaanza kufanya mazoezi kwenye uwanja wake mpya.

Uwanja huo wa klabu ya Simba, umeanza matengenezo na inaonekana yamekuwa yakienda kwa kasi kubwa.

Baada ya siku chache kuonekana tingatinga likikwangua, kuanzia juzi, mchanga maalum ambao huwa chini ya nyasi bandia umeanza kumwagwa.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV