September 12, 2016

Wakati Paris Saint-Germain ikitarajiwa kuwa mwenyeji wa Arsenal kwenye Uwanja wa Parc des Princes, kesho Jumanne katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amewazungumzia mchezaji wake mpya kikosini kwake, Lucas Perez na Shkodran Mustafi

Wenger ametaka mashabiki kuwa na subira hasa kuhusu straika wao, Lucas Perez ambaye anahitaji muda kuzoea mazngira ya klabuni hapo.

Lucas Perez na Ozil (kushoto) wakielekea mazoezini leo.RamsayShkodran Mustafi
Perez alipata nafasi ya kucheza kwa mara ya kwanza katika mechi ya juzi dhidi ya Southampton na kuisaidia Arsenal kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Southampton katika Premier League.

"Tumpe muda, tumekuwea tukifunga mabao mengi lakini tumesajili straika mmoja, hivyo tusitoe hukumu mapema,” alisema Wenger.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV