Mshambuliaji Mario Balotelli amewaambia waajili wake Nice ya Ufaransa kwamba wasifikiri wamepata hasara kumsajili.
Balotelli amesema atawafanyia kazi ambayo itawafurahisha kwa kuwa amepania kufanya vizuri.
Mshambuliaji huyo ametua Nice akitokea Liverpool na wengi walidhani kwamba atakataa.
0 COMMENTS:
Post a Comment