DIEGO LOPEZ AREJEA HISPANIA NA KUJIUNGA NA ESPANYOL, SASA ANAHAMIA JIJINI BARCELONA Kipa wa zamani wa Real Madrid, Diego Lopez ambaye sasa ni mali ya AC Milan, amejiunga na Espanyol ya Hispania kwa mkopo hadi Juni, 2017. Kujiunga na Espanyol, maana yake anahamia jijini Barcelona ambako alikuwa mpinzani mkubwa wa Barcelona wakati akikipiga Real Madrid.
0 COMMENTS:
Post a Comment