September 1, 2016


Christopher Samba, yule beki mwenye asili ya Congo akiwa amekulia Ufaransa. Amejiunga na Panathianakos ya Ugiriki.


Rasmi leo amejiunga na klabu hiyo kwa ajili ya kuimarisha ukuta wa kikosi hicho. Kwa sasa Samba aliyewahi kung’ara na Blackburn Rovers ana umri wa miaka 32.

Kama unakumbuka aliwahi kusajiliwa na Kocha Harry Redknapp kuikoa QPR ikiwa inakaribia kuteremka, lakini bahati mbaya hakufanikiwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV