September 23, 2016


Wakazi wa eneo la Al-Furat nchini Iraq, wamepigwa marufuku kuvaa jezi za timu mbalimbali za Premier League ya England, Serie A ya Italia, Bundesliga ya Ujerumani na La Liga ya Hispania.


Kundi la Kigaidi la ISIS limetoa tangazo kwamba aria hawaruhusiwi kujihusisha au kuvaa jezi za timu hizo au zile zenye nembo ya Adidas na Nike.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV