September 19, 2016

Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, jana ilipata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Congo Brazzaville katika hatua ya tatu kuwania kufuzu michuano ya Afrika kwa vijana itakayofanyika mwakani.

Mchezo huo wa kwanza wa hatua hiyo ulifanyika kwenye Uwanja wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Hivi ndivyo ilivyokuwa sehemu ya matukio ya mchezo huo :


Mfungaji wa mabao mawili ya Serengeti, Yohana Mkomola (aliyevua shati) akishangilia na wenzake baada ya kufunga.
 
Kikosi cha Serengeti Boys.

Kikosi cha CongoSerengeti wakishangilia bao la tatu.

Timu hizo zinatarajiwa kurudiana Oktoba 2 ambapo mshindi wa hapo atasonga mbele kwa kufuzu moja kwa moja katika michuano hiyo ya vijana.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV