September 29, 2016Mshambuliaji Mbwana Samatta, atakuwa na kazi  wakati KRC Genk itakapokuwa inawavaa Waitaliano US Sasuolo.

Mechi hiyo ya Kundi F katika michuano ya Europa itakuwa ni gia nyingine KRC Genk kujiweka vizuri katika michuano hiyo.

Lakini itakuwa ni nafasi nyingine kuinua matumaini pya baada ya kwenda na mwendo wa kususua na kupoteza mechi tatu mfululizo.


Samatta, Mtanzania ambaye amekuwa tegemeo la ufungaji katika kikosi cha Genk tokea amejiunga nacho akitokea TP Mazembe.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV