September 10, 2016

Kikosi cha Yanga ambacho kinatarajiwa kuanza katika mchezo huo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Majimaji ambao SALEHJEMBE utakurelea matukio live kuanzia mwanzo hadi mwisho kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, ni hiki hapa:

1. Ali Mustafa
2. Juma Abdul
3. Haji Mwinyi
4. Andrew Vicent
5. Nadir Haroub
6. Thabani Kamusoko
7. Saimoni Msuva
8.Deus Kaseke
9. Donald Ngoma
10. Amis Tambwe
11. Obrey Chirwa
Akiba:
- Beno Kakolanya
- Hassani Kessy
- Oscar Joshua
- Kelvin Yondani
- Juma Mahadhi
- Mateo Antony
- Yussuf Mhilu

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV