September 14, 2016

Licha ya kocha wa Manchester United, Jose Mourinho kuwatoa kwenye kikosi chake mastaa kadhaa, akiwemo Wayne Rooney lakini bado walishiriki kwenye mazoezi ya leo asubuhi kabla ya kupanda ndege kwenda Uholanzi kujiandaa kucheza na Feyenoord katika Europa League .

Timu hizo zinatarajiwa kukutana kesho katika ligi hiyo, ambapo wachezaji wa Man United wameokana kuwa na furaha na kusahau machungu ya kufungwa mabao 2-1 na Manchester City, Jumamosi iliyopita.

Hivi ndivyo sehemu ya mazoezi yao yalivyokuwa pichani:
 
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV