September 21, 2016Real Madrid imeshindiwa kufurukuta nyumbani baada ya kubanwa kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Villarreal maarufu kama Manyambizi.Madrid waliokuwa kwenye Uwanja wao wa nyumbani wa Santiago Bernabeu jiji Madrid, walilazimika kusawazisha kupitia Sergio Ramos baada ya Villarreal kupata bao dakika za mwisho za kipindi cha pili.


Real Madrid: Casilla 6.5, Danilo 6, Ramos 5.5, Varane 6, Marcelo 6 (Carvajal 6, 46), Kroos 6.5, Kovacic 6, James 6.5, Bale 5.5 (Vazquez 70, 7), Benzema 6 (Morata 77), Ronaldo 5.5
Booked: Ramos, Ronaldo, Kroos, Carvajal. 
Goal: Ramos 48

Villarreal: Asenjo 8, Mario 6.5, Musacchio 6, Ruiz 6, Angel 6.5, Bruno 7, Trigueros 7, Dos Santos 6.5, Castillejo 6, Cheryshev 6 (Soriano 64, 6.5), Sansone 5.5 (Pato 73, 5.5)
Booked: Angel
Goal: Bruno pen, 45

Ref: Jose Luis Gonzalez Gonzalez
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV