September 15, 2016

Saleh Ally akiwa ofisini kwa Abidal
Mhariri wa Gazeti la Championi, Saleh Ally ambaye pia ndiye Mr Saleh Jembe yupo nchini Hispania, ametembelea makao makuu ya Klabu ya Barcelona pamoja na katika kituo cha kulelea vipaji vya soka vya klabu hiyo maarufu kwa jina la La Masia.
Abidal na Messi

Pique
 Simulizi zake akiwa Barcelona utazipata kuanzia kesho kwenye SALEH JEMBE na katika magazeti ya Championi kwa kuanzia CHAMPIONI IJUMAA la kesho Septemba 16, 2016.

 Utajua mengi kuhusu klabu hiyo na uwanja wake wa Camp Camp Nou, pia amekutana na wachezaji wa zamani na wa sasa wa Barcelona ambao amefanya nao mahojiano nao LIVE baadhi ni Eric Abidal na Gerard Pique aka Baba Shakira.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV