September 7, 2016


Nahodha wa muds mrefu wa John Terry, wakati akiwa mdogo hapa akiwa na Kocha Alex Ferguson ambaye alimualika kwenye Uwanja wa Old Trafford.

Terry alialikwa akiwa na wazazi wake, baba yake Ted na mama yake mzazi, Sue.


Wakati huo, Terry alikuwa na umri wa miaka 14. Ferguson alivutiwa na kinda huyo na ilibaki kidogo tu amsainishe katika kikosi cha watoto cha Manchester United.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV