September 13, 2016

Uefa Champions League inaendelea leo ambapo mechi za hatua ya makundi zinaaza kupigwa leo kwenye viwanja tofauti, kutakuwa na mechi nane , kesho Jumatani pia ligi hiyo itaendela kwa kuwa na mechi nane za hatua hiyo.
   


Ratiba ya mechi za leo na muda kwa saa za Afrika Mashariki ni hii hapa:
Paris St-Germain  v    Arsenal                3:45 Usiku   
PSV                      v    Atlético Madrid    3:45 Usiku   
Man City               v    B.Mön'dbach       3:45 Usiku   
FC Basel              v    Ludogorets          3:45 Usiku   
Barcelona             v    Celtic                  3:45 Usiku   
Benfica                 v    Besiktas              3:45 Usiku   
Dynamo Kyiv        v    Napoli                 3:45 Usiku   
Bayern München  v    FC Rostov           3:45 Usiku   

Ronaldo wa Real Madrid


MAKUNDI YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV