October 4, 2016


Baada ya mechi yake dhidi ya watani wake Yanga, Simba imeendelea na mazoezi leo kujiandaa na mechi ijayo dhidi ya Mbeya City.

Kikosi cha Simba chini ya Kocha Joseph Omog kimefanya mazoezi kwenye Uwanja wa Kinesi enero la Shekilango, Ubungo jijini Dar es Salaam.


Simba inajiandaa na mechi ya ugenini dhidi ya Mbeya City ambayo inatarajiwa kuwa ngumu kwao kwa kuwa Mbeya City itakuwa nyumbani na inahitaji pointi tatu.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV