Real Madrid imeendelea kujichimbia kileleni mwa La Liga baada ya kupata ushindi mwembamba wa mabao 2-1 dhidi ya Athletic Bilbao.
Madrid imepata ushindi huo ikiwa nyumbani Santiago Bernabeu baada ya Karim Benzema kufunga bao la mapema kabla ya Albaro Morata kumalizia kazi dakika za mwisho kabisa.
Hata hivyo, wageni hao walikuwa na nafasi ya kusawazisha mabao yote lakini hawakuzitumia vizuri nafasi hizo.
0 COMMENTS:
Post a Comment