SAMATTA ATUSUA NDANI YA CAF, NI MMOJA WA WACHEZAJI BORA 30 AFRICA, ANAWANIA TUZO Shirikisho la Soka Afrika (Caf), limetoa wachezaji 30 wanaowania tuzo ya mwanasoka Bora Afrika. Mtanzania Mbwana Samatta ni kati yao na anapambana na nyota wengi wanaocheza katika Ligi kubwa Afrika. Angalia picha.
0 COMMENTS:
Post a Comment