BAADA YA KUREJESHWA KATIKA KIKOSI CHA KWANZA, BASTIAN SCHWEINSTEIGER AMEWASHUKUTU MASHABIKI Kiungo mkongwe Bastian Schweinsteiger amerejeshwa kwenye kikosi cha kwanza cha Manchester United. Yeye hajakubali kurejea hivihivi, badala yake amewashukuru mashabiki wa Manchester United walikuwa wakimtumia meseji nzuri za kumjali.
0 COMMENTS:
Post a Comment