November 29, 2016


Simba imeonyesha imenuia kujiimarisha na kunja taarifa imeanza mazungumzo na kipa Daniel Agyei.

Agyei ni kipa namba moja wa kikosi cha Medeama ya Ghana na Simba inataka aongeze nguvu katika kikosi chake.

"Ndiye anaonekana kuwa chaguo sahihi, kazi yake ilionekana akiwa kwenye Kombe la Shirikisho," kilieleza chanzo.


Kocha Joseph Omog alipendekeza kuongezwa kwa kipa mmoja ili ‘kumbusti’ Vicent Angban.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV