November 29, 2016
Familia za wafanyakazi wa Startimes walipata nafasi ya kusherekea mwanzo kipindi cha Krismasi wakiwa na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo maarufu ya ving’amuzi.

Lengo lilikuwa ni kujumuika pamoja kama familia lakini kuonyesha kuwa kampuni hiyo inawajali wafanyakazi na familia zao na hasa watoto.

Pamoja na hivyo, watoto hao walipata nafasi za kutembelea ofisi za Startimes na kujifunza mambo mbalimbali.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV