Mbeya City imeitwanga Yanga kwa mabao 2-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, leo.
Kipigo hicho kinakuwa ni cha pili kwa Yanga baada ya kufungwa na Stand United bao 1-0 pia.
Taswira zinaonyesha mechi hiyo ya leo, hizi hapa.
"Yanga ilivyoitoa Yanga sho" what is this?? Umakini upo wapi?
ReplyDeleteMWAKA WA NTA, IKODISHWE TU TUMECHOKA
ReplyDelete