December 9, 2016



Mechi ya Europa Cup kati ya Sassuolo dhidi ya KRC Genk imeahirishwa kutokana na hali mbaya ya hewa.

Ukungu umetanda uwanjani na kufanya mechi hiyo ya Europa Cup kuahirishwa na inaweza kuchezwa kesho.

Genk ya Ubelgiji ndiyo anayochezea Mtanzania, Mbwana Samatta ambaye alikuwa tayari kwa mechi hiyo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic