December 8, 2016



Kiungo Mghana, James Kotei tayari katua mjini Morogoro na kujiunga na kikosi cha Simba.

Pamoja na kujiunga nacho, Kotei moja kwa moja ameanza mazoezi chini ya Kocha Joseph Omog.



Kiungo huyo alitua jana jijini Dar es Salaam, leo ajaanza safari ya kwenda Morogoro na kujiunga na kambi ya Simba.

Lakini kuonyesha "hataki mchezo", Kotei amekubali kuanza mazoezi mara moja ikiwa ni sehemu ya majaribio ili Kocha Omog amuone.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic