December 8, 2016



 Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi yake chini ya Kocha Joseph Omog.

Simba iko mjini Morogoro katika maandalizi ya mzunguko wa pili ambao ni lala salama.
Kabla, Simba iliweka kambi mjini humo na kufanikiwa kufanya vizuri katika mzunguko wa kwanza ikishinda mechi 11, sare mbili kabla ya kuboronga mechi mbili za mwisho kwa kupoteza zote.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic