![]() |
| SIMBA |
Simba imechapwa kwa mabao 2-1 katika mechi dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam.
Hiki ndiyo kikosi ambacho kimekubali kipigo huku kipa Daniel Agyei akikaribishwa Tanzania kwa kutandikwa mabao mawili katika mechi hiyo.
Simba ilikuwa na nafasi ya kusawazisha katika mechi hiyo lakini beki, Janvier Bokungu akakosa penalti.
![]() |
| MTIBWA SUGAR |









0 COMMENTS:
Post a Comment