December 13, 2016


Kikosi cha Azam FC kimekuwa kikiendelea na mazoezi makali chini ya Kocha Zeben Hernandez na wenzake, raia wa Hispania.

Mazoezi ya Azam FC yanaonyesha kikosi hicho kitakuwa fiti hasa kama wachezaji watakuwa makini.

Azam FC waliomaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara wakiwa katika nafasi ya tatu, wanaonyesha watatoa upinzani mkubwa katika mzunguko wa pili kama watakuwa makini.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic