Kiungo nyota wa Man City, Yaya Toure amehukumiwa kutoendesha gari kwa miezi 18, yaani mwaka mmoja na nusu.
Kama haitoshi, amepigwa faini ya pauni 54,000 (zaidi ya Sh 160), baada ya kupatikana na hatia ya kuendesha gari akiwa amelewa, lakini yeye ameshangazwa na hilo kwa kuwa hakuwahi kunywa pombe.
Toure aria wa Ivory Coast amesema anaipokea adhabu hiyo, lakini anashindwa kuelewa kwa kuwa hajawahi kunywa pombe maisha yake yote.








0 COMMENTS:
Post a Comment