January 31, 2017


Klabu ya Crystal Palace imeonyesha nia ya kumpata beki Mamadou Sakho.

Liverpool intake kulipwa pauni milioni 20 ili kumuachia beki huyo raia wa Ufaransa.

Sakho na Kocha Jurgen Kloop aria wa Ujerumani wanaonekana kutoelewana kabisa.


Wakati dirisha la usajili linakwenda ukingoni , inaonekana juhudi zinafanyika.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic