January 30, 2017




Kipa wa Kagera Sugar, David Burhani amefariki dunia.

Burhani aliyewahi kuichezea Mbeya City kwa mafanikio, amefia katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza.


Taarifa kutoka kwa baadhi ya viongozi wa Kagera Sugar zimeeleza marehemu alikuwa akisumbuliwa na malaria.

Baada ya Mbeya City, Burhani aliwahi kujiunga na Majimaji ya Songea na kuitumikia msimu mmoja.

PUMZIKA KWA AMANI BURHANI

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV