Uganda imeanza vibaya michuano ya Afcon baada ya kuchapwa kwa bao 1-0 na Ghana.
Nahodha wa Ghana, Andre Ayew ndiye alikuwa shujaa baada ya kufunga penalti hiyo katika kipindi cha pili.
Mechi hiyo ya Kundi D ilikuwa ngumu na Uganda walionyesha juhudi kubwa lakini mwisho hawakufanikiwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment