ANZA SIKU NA PICHA HII; PAUL POGBA Kiungo wa Man United, Paul Pogba akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Watford, Tom Cleverly aliyewahi pia kukipiga United ambayo katika mchezo huo ilishinda kwa mabao 2-0.
0 COMMENTS:
Post a Comment