February 12, 2017




Ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Watford umeifanya Man United kufikisha pointi 48 ambazo zinaibakiza tena katika nafasi ya 6 baada ya ushindi wa Liverpool wa mabao 2-0 dhidi ya Tottenham.

Mabao ya Man United yamefungwa na Juan Mata kabla ya Anthony Martial kumalizia kazi na kuiwezesha United kukusanya alama hizo 49.

Liverpool ina pointi 49 katika nafasi ya nne, Man City nao pointi 49 katika nafasi ya tano. Kama watashinda mechi yao dhidi ya Bournemouth, kesho. Maana yake watafikisha pointi 52 na kuishusha Liverpool katika nafasi ya tano.

Lakini ikiwa watapoteza, itakuwa "jambo zuri" kwa Man United kwa kuwa timu mbili juu yake zitaendelea kubaki na pointi 49 juu yake.


















0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic