Arsenal kesho ina kibarua cha Ligi ya Mabingwa Ulaya itakapowavaa Bayern Munich ambao mara ya mwisho waliwatwanga kwa mabao 5-1.
Tayari Arsenal wameondoka London na kutua salama jijini Munich, Ujerumani tayari kwa mchezo huo. Je, wauweza mzigo huo wa Kijerumani?
0 COMMENTS:
Post a Comment