February 14, 2017



Mshambuliaji Gabriel Jesus wa Manchester City amevunjika mfupa wa tano wa mguu maarufu kama metatarsal.

Jesus ambaye alionekana ni mkombozi wa Man City katika ushambulizi alivunjika katika dakika ya 14 ya mchezo dhidi ya Bournemouth ambao City walishinda kwa mabao 2-0.

Lakini tayari amepatiwa matibabu na na inaonekana maendeleo ni mazuri.






TAKWIMU ZAKE PREMIER LEAGUE
Mechi 4  
Nafasi alizotengeneza 4 
Mashuti yaliolenga 4  
Mabao aliyofunga 3 
Pasi za mabao 1 



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic