February 2, 2017


FC Barcelona imeishinda Atletico MAdrid kwa mabao 2-1 katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Mfalme nyumbani kwake Vincente Cardelon, Madrid.

Gumzo zaidi ni bao la pili la Barcelona lililofungwa na Lionel Messi akiwa katikati ya msitu wa mabeki wa Atletico.


Messi ameonyesha ni “mtu wa sayari nyingine” kutokana na namna alivyokokota mpira huo katikati ya mabeki kabla ya kuachia fataki kali la mguu wa kushoto.

Bao jingine la Barcelona lilifungwa na Luiz Suarez ambaye aliwachambua mabeki wawili akitokea katikati ya uwanja kabla ya kufunga.

Bao la wenyeji lilifungwa na Mfaransa Antoine Griezmann ambaye alimzidi ujanja Javier Mascherano na kupiga kichwa safi kabisa.





Atletico Madrid (4-4-2): Moya; Vrsaljko (Torres 46), Godin, Savic, Filipe; Juanfran, Gabi, Koke, Saul (Gaitan 59); Carrasco (Gameiro 70), Griezmann.
Subs not used: Moreira, Lucas, Keidi, Correa,
Goal: Griezmann 
Booked: Savic, Juanfran, Saul, Gabi, Griezmann 


Barcelona (4-3-3): Cillessen; Sergi Roberto, Pique, Umtiti, Alba; Rakitic (Denis 58), Mascherano, Gomes (Rafinha 72), Mesis, Suarez, Neymar.
Subs not used: Masip, Arda, Alcacer, Vidal, Mathieu
Goals: Suarez, Messi 

Booked: Mascherano, Messi, Neymar 








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic