February 13, 2017


Akiwa na umri wa miaka 30, Sergio Ramos ametimiza ndoto yake ya kufikisha mechi 500 akiwa na kikosi cha Real Madrid.

Ramos ambaye ni nahodha namba moja amefikisha mechi hizo baada ya Madrid kuitwanga Osasuna kwa mabao 3-1 katika mechi ya La Liga.


Beki huyo wa kati ambaye pia ni tegemeo la timu ya taiga ya Hispania ni tegemeo kubwa zaidi katika kikosi cha Madrid.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV