February 8, 2017


Barcelona imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Atletico Madrid na kutinga fainali ya Copa del Rey.

Mfungaji wa bao la Barcelona alikuwa Luis Suarez na kufanya matokeo ya jumla kuwa 3-2 Barcelona ikisonga mbele.

Lakini kutokana na kuwa mtu asiyeisha vituko, Suarez raia wa Uruguay alilambwa kadi nyekundu na kutoka.

Barcelona (4-3-3): Cillessen; Roberto; Pique; Umtiti; Alba; D Suarez (Mascherano 62); Rakitic (Iniesta 72); Gomes; Messi; L Suarez; Turan (Busquets 70)
Scorers: L Suarez 43
Booked: Roberto, Rakitic, Cillessen, L Suarez
Sent off: Roberto 57, L Suarez 90


Atletico Madrid (4-4-2): Moya; Juanfran; Savic; Godin (Gomez 49); Luis; Carrasco; Koke; Niguez; Gaitan (Correa 48); Griezmann; Torres (Gameiro 61)
Scorers: Gameiro 83
Booked: Carrasco, Savic, Luis
Sent off: Carrasco 69 
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV