February 8, 2017
Mshambuliaji kinda anayewindwa na Kocha Arsene Wenger, Kylian Mbappe ameonyesha kuwa yuko vizuri kweli baada ya kuifungia timu yake ya Monaco bao la ushindi dhidi ya  Montpellier.

Mbappe alifunga bao wakati Monaco ikiitwanga Montpellier kwa mabao 2-1 katika mechi ya Ligi Kuu ya Ufaransa.


Wenger anaonekana kuelekeza nguvu kubwa kumnasa kinda huyo ili kusaidia ushambulizi.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV