February 8, 2017


Bingwa wa mchezo wa kickboxer, Badr Hari, 32, amehukumiwa kwenda jela miaka miwili baada ya kupatikana na hatia ya shambulizi.

Hari raia wa Morocco aliwahi kuhusishwa kuwa kwenye mahusiano ya tabia chafu za kishoga dhidi ya mwanasoka bora duniani Cristiano Ronaldo anayekipiga Real Madrid na ndiye nahodha wa timu ya taifa ya Ureno.

Huku hiyo ya Hari imetoka nchini Uholanzi, hivyo atalazimika kutoka kwao Morocco kwenda jijini Amsterdam kutumikia kifungo chake.

Hukumu inasema hakutakuwa na rufaa hadi atakapotumikia kifungo kwa miezi sita kwanza, baada ya hapo ndiyo mwanasheria wake anaweza kuifikisha rufaa sehemu husika.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV