February 3, 2017Shirikisho la Soka Afrika (Caf) limetangaza Serengeri Boys kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 ni baada ya Congo kumchezesha mchezaji mwenye umri zaidi ya miaka 17.
Jamaa anaiwa Langa Percy, kwa hapa Tanzania maarufu zaidi kama Kijeba au Jeba.

Caf imeitangaza Tanzania kupitia Serengeti Boys na kuing’oa Congo ambayo ilimchezesha Jeba huyo lakini ilipotakiwa kumpeleka kwa ajili ya vipimo vya DNA ikashindwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV