PAUL POGBA AKIWEKA KIKATUNI CHAKE KWENYE KIATU Kiungo nyota wa Manchester United, Paul Pogba ameweka emoji au kikatuni chake kwenye kiatu chake. Pogba amekuwa mchezaji wa kwanza duniani kuwa na kikatuni chake.
0 COMMENTS:
Post a Comment