March 20, 2017


Washambulizi nyota duniani, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wametupwa nje katika timu ya wiki ya La Liga.


Wawili hao kutoka Barcelona na Real Madrid hawajapata nafasi ya kuingia katika kikosi hicho huku Neymar wa Barcelona na Antoine Griezmann wa Atletico Madrid pamoja na Karim Benzema wa Real Madrid wakipewa nafasi ya kuongoza mashambulizi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV