April 7, 2017


Anthony Joshua naye amekuwa akiendelea na maandalizi kwa ajili ya bambino la ngumi za kulipwa linalosubiriwa kwa hamu.

Joshua anajiandaa dhidi ya mkongwe Wladimir Klitschko litakalopigwa Aprili 29 kwenye Uwanja wa Wembley jijini London.
.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV