April 24, 2017


Kiungo kinda wa Tottenham, Dele Alli ameibuka kuwa mwanasoka bora kijana wa Ligi Kuu England.

Alli mwenye miaka 21, ameshinda tuzo hiyo dhidi ya nyota wengine kama Harry Kane (Tottenham),  Romelu Lukaku (Everton), Michael Keane (Burnley), Jordan Pickford (Sunderland) na Leroy Sane wa Man City.

Kinda huyo amekuwa tegemeo katika safu ya ushambulizi ya Spurs ambayo inaonekana kuwa mpinzani mkubwa wa Chelsea kuwania ubingwa wa Ligi Kuu England. 


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic