April 18, 2017



Fenerbehce ya Uturuki imeonyesha nia ya kutaka kumsajili mshambulizi Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga KRC Genk ya Ubelgiji ambako amekuwa aking'ara.

Kwa sasa, mkongwe Robon van Persie ndiye kiongozi wa ushambulizi katika timu hiyo ya pili kwa ukubwa nchini Uturuki baada ya Galatasaray.

Lakini  Fenerbehce  inaonekana imeamua kujiimarisha na sasa inasaka mshambulizi kijana na hatari, Samatta anatupiwa jicho.


Wengine ambao wanapewa nafasi ya kusajiliwa na Fenerbehce  ni Thomas Bruns, Theo Bongoda na Ridgeciano Haps.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic