April 26, 2017


Mwanamama muigizaji nyota kutoka Hollywood nchini Marekani alikuwa kati ya watu walioshuhudia mechi ya El Clasico wakati Barcelona ikiitwanga Real Madrid kwa mabao 3-2 mjini Madrid.


Lakini Julia akawa ni mwenye bahati zaidi baada ya kupata nafasi ya kuzungumza na kupiga picha na Lionel Messi wa Barcelona pia staa wa Madrid, Cristiano Ronaldo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV