April 30, 2017


Simba imetinga fainali baada ya kuitwanga Azam FC katika mechi ya Kombe la Shirikisho hatua ya nusu fainali jana.

Simba ilishinda kwa bao 1-0 katika mechi iliyotawaliwa na mvua kubwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV