April 9, 2017


Mkongwe Bastian Schweinsteiger ameanza vizuri na timu yake mpya ya Chigaco Fire baada ya kufunga bao katika mechi ya kwanza.

Katika mechi hiyo ya Ligi Kuu ya Marekani maarufu kama Major League, Chicago Fire imetoka safe ya mabao 2-2 na Montreal Impact.

Schweinsteiger amejiunga na timu hiyo akitokea Man United na huo ulikuwa ni mchezo wake wa kwanza.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV