April 18, 2017
Hatimaye Yanga wamerejea nchini baada ya kuwa wamechelewa nchini.

Hili ni lile fungu ambalo liliachwa na ndege mjini Algers nchini Algeria.

Wachezaji walipotua, kila mmoja alionekana kwenda mwelekeo wake.Si kawaida kama ilivyozoeleka hutua na kutoka pamoja. Lakini kila mmoja alielekea upande wake na kuwashangaza waliokuwa uwanjani hapo.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV