May 23, 2017


Ukisema ameachana na ukapera, si vibaya.

Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu “Cadabra” leo amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi.

Ajibu ameamua kukamilisha ndoto yake hiyo kwa kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi siku chache kabla ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic